20 Folgen

Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.

Talisman Brise RFI - Radio France Internationale

  • Nachrichten

Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.

  Talisman Brise - Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.

  Talisman Brise - Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.

  Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....

  • 2 Min.
  Talisman Brise - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa

  Talisman Brise - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa

  Hatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni  na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana.

  • 2 Min.
  Talisman Brise - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...

  Talisman Brise - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...

  Profesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.

  • 2 Min.
  Talisman Brise - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar

  Talisman Brise - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar

  Kwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara...

  • 2 Min.
  Talisman Brise - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..

  Talisman Brise - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..

  Safari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na kuambatana nao kuelekea katika dimbwi la Garkoe kumwokoa Profesa Omar.....fuatilia

  • 2 Min.
  Talisman Brise - Profesa Abubakar abainika kuwa bandia

  Talisman Brise - Profesa Abubakar abainika kuwa bandia

  Mambao yamekuwa mambo,Profesa Abubakar na daktarai wabainika kuwa profesa bandia na daktari bandia...fuatilia..

  • 2 Min.

Top‑Podcasts in Nachrichten

Mehr von RFI - Radio France Internationale