57 sec

PUMZIKA KWA AMAN DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI Donrugi

    • Courses

Napenda kutoa pole kwa watanzania wote kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa doctor John pombe joseph magufuri, ambaye amepoteza maisha kwa ugonjwa wa moyo kama ilivyo tangazwa na makamu wake wa urais mh samia suruhu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi AMEN 🙏🏾