19 min

Tanzania yaadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika ,mafuriko yaripotiwa Kenya Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

    • News

Makala haya yanaangazia yaliyojiri nchini Kenya na Tanzania kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu zaidi ya 70 ,mgomo wa madaktari nchini Kenya, Tanzania kuadhimisha miaka 60 tangu kuundwa kwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, safari za wahamiaji walioko nchini Uingereza kuelekea nchini Rwanda

Tutaangazia pia uchaguzi wa wabunge nchini Togo,usalama wa Burkina Faso , na Ulimweguni  tutazidi kuangazia Mzozo unaondelea baina ya Israel na Hamas .

Top Podcasts In News

Het Punt van Van Impe
Nieuwsblad
De 7
De Tijd
DS Vandaag
De Standaard
Les Grosses Têtes
RTL
De afspraak
VRT NWS
LEGEND
Guillaume Pley

More by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa
RFI Kiswahili
Nyumba ya Sanaa
RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
RFI Kiswahili
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI Kiswahili
Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
RFI Kiswahili