57 min

Lil Ommy Podcast: With Bongo Zozo S02E04 Lil Ommy Podcasts

    • Music Interviews

Bongo Zozo, Mzugnu anayeongea kiswahili vizuri mwanzo mwisho na anavutia watu wengi zaidi kwa videos zake za mtandaoni za kuhamasisha timu ya mpira ya Tanzania, Taifa Stars.

Bongo Zozo amelezea alivyoingia Tanzania, kujifunza lugha ya Kiswahili, Kuoa mke wa Mswahili na Kuzaa naye watoto wawili.

Wamekaa na mke miaka 22 lakini ameachana na mke wake kwa sasa, wanalaal vyumba viwili tofauti, Kupitia interview hii, Bongo Zozo ametangaza kutaka kufunga tena Ndoa na aliyekuwa mke wake (Mama Jesca) kwa mara ya 3? Mama Jesca atakubali?

#LilOmmy #BongoZozo #Podcast

Subscribe channel hii, LilOmmyTV kuangalia interview hii na zingine kibao, Gonga Like, Angusha Comments na Share Video hii kwenye Groups zako za WhatsApp.

Let's Connect
http://www.instagram.com/lilommy
http://www.twitter.com/lilommy
https://facebook.com/lilommyfanpage

https://lilommy.com/

AV Media Studios
(c) 2021