Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo Jamii360 Podcast

    • Society & Culture

Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo.   https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3

Top Podcasts In Society & Culture

Animal
The New York Times
Oprah's Super Soul
Oprah
Happy Place
Fearne Cotton
Tonight's Conversation Podcast
Ace Metaphor
Ace of Hearts with Monique Heart
Headgum
Good Food
KCRW