Habari RFI-Ki RFI Kiswahili
-
- News
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
-
Nini suluhu ya hali ya msongamano kwenye magereza ya nchi za Afrika Mashariki
Nchini DRC, mashirika ya kutetea haki za binadamu yakitaka serikali kuboresha mazingira ili kuepuka vifo na ukiukwaji wa haki za wafungwa,mwaka uliopita, vifo zaidi ya 500 vilirekodiwa katika gereza kuu la makala nchini DRC.
-
Matarajio yako kuhusu mkutano wa kibiashara kati ya Korea Kusini na Afrika
-
Uchaguzi nchini Afrika Kusini, chama tawla ANC kupoteza wingi wa viti bungeni
-
Kila Ijumaa ni fasi yako mskilizaji kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili
Kila siku ya Ijumaa rfi Kiswahili inakupa mskilizaji nafasi ya changai mada yoyote ambayo unapenda, liwe jambo linalofanyika hapo ulipo au yale umeskia katika taarifa wetu.
-
Je mataifa tajiri yanaweza saidia mataifa maskini kupata nishati safi
Wiki hii Paris, ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa kujadili namna ya kuyasaidia mataifa masikini hasa barani Afrika, kufikia malengo ya kukumbatia nishati safi ya kupikia na kuachana na mkaa na kuni.
-
Somalia : Yataka ujumbe wa umoja wa mataifa wa kisiasa kuondoka
Serikali ya Somalia imeandikia bazara la usalama la umoja wa mataifa ikitaka ujumbe wa umoja huo ambao umekuwa ukisaidia serikali katika maswala ya kisiasa na usalma kuondoka.