Radiant Soulful Podcast Amina Abdirahman
-
- Sociedad y cultura
Human interest podcast, which uses Storytelling to educate and create positive change by capturing new and different perspectives...
-
-
Faida ya chanjo ya corona
Umuhimu wa chanjo ya corona na baadhi ya kauli ya wakaazi wa mji wa Kajiado.
-
Imani potofu kuhusu chanjo ya virusi vya COVID-19.
Tunaangazia imani potofu iliyojengeka katika jamii zetu kuhusiana na swala zima la chanjo ya corona.
-
Migogoro kati ya binadamu na wanyama pori.
Makala haya yanahusu suala zima la jinsi wanyapori wamekuwa wakiwahangaisha wakaazi wa mji wa Kajiado... Makinika msikilizaji wangu...
-
Hali tete katika sekta ya afya...
Tunaangazia suala zima la jinsi serikali imewekeza raslimali nyingi katika kupigana na janga la virusi vya corona na kusahau kwamba kuna magonjwa mengine tegemezi ambayo yanafaa kupewa kipaumbele...
-
Kazi ni kazi...
Jinsi vijana walivyotafuta njia mbadala ya kujitafutia riziki msimu huu wa Covid-19...katika kaunti ya kajiado...