Afrika Ya Mashariki RFI Kiswahili
-
- Notícias
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
-
Mvutano kati ya Somalia na Ethiopia kuhusiana na suala la Somaliland
Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwa pembe ya Afrika tukiangaza juu ya vuta nikuvute katika serikali ya mjini Mogadishu na Addis Ababa.
-
Kumbukizi ya miaka 28 tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba
Baadhi ya Wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushiriki ibaada ya kumbukizi ya ajali ya MV Bukoba, ibada hiyo imefanyika katika Makaburi ya wahanga wa ajali ya MV Bukoba yaliyopo katika kitongoji cha Igoma Mkoani Mwanza nchini Tanzania
-
Tanzania: Jinsi raia wanaoishi na ulemavu wanapambana kujikimu kichumi
Katika mataifa ya Afrika Mashariki, raia wengi wanaoishi na ulemavu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kujikimu kiuchumi.
-
Mafundisho potofu kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini Afrika Mashariki
Tunaangazia namna viongozi wa dini wamekuwa kinara katika kupambana na mafundisho potofu na kutumia mahangaiko ya waumini wao kama mtaji wa kuvuna utajiri.
-
Juhudi za kupambana na ulawiti wa watoto katika nchi za Afrika mashariki
Ulawiti ni janga linaloendelea kuwakumba watoto si tu katika mataifa ya ukanda wa Afrika mashariki bali katika mataifa mbalimbali ulimwenguni.
-
Ujumbe unaoandikwa kwenye vyombo vya usafiri katika mataifa ya Afrika
Je ujumbe unaoandikwa unahalisia na vitu vilivyowatokea makonda na madereva wa vyombo hivyo.