3 min

Junior Starlets Wafuzu kwa Kombe la Dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17 Sepetuko

    • Politics

Heko kwa Junior Starlets kwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwa wanawake chipukizi chini ya miaka 17. Historia iliyoje! Junior Starlets inakuwa timu ya kwanza kabisa ya Kenya ya kandanda kufuzu kwa Kombe la Dunia.
Maandalizi ya kushiriki kombe hilo yaanze sasa.