VOA Express - Voice of America VOA
-
- News
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
-
Siku ya Kimataifa ya kukuza Uelewa kuhusu Albino yaadhimishwa, baadhi ya washika dau wakisema kuna hatua nyingi zilizobaki kuchukuliwa. - Juni 13, 2024
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
UNICEF inasema ukiukwaji wa haki za watoto huko mashariki mwa DRC umeongezeka kwa asilimia 30, je wanaharakati wa haki za watoto wanasemaje? - Juni 12, 2024
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Siku ya Kimataifa ya kucheza inatoa fursa kwa watoto kukuza ustawi wa afya ya akili, mwili na viungo. - Juni 11, 2024
Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
-
VOA Express - Juni 10, 2024
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Benki ya Maendeleo ya Afrika yabuni mradi maalum wa kuwainua vijana kiuchumi. - Juni 07, 2024
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
-
Maelfu ya wanafunzi waliohitimu kujiunga na vyuo vikuu wangali bado kuripoti - Juni 06, 2024