
49 episodes

Mshairikasti The Poetcast Mohammed AlGhassani
-
- Arts
This is an official podcast channel of Mohammed Khelef Al Ghassani, a Swahili poet from Zanzibar.
-
Mulipokuwa Nyinyi
Yalipowashika, magonjwa na njaa, na umasikini
Mukahangaika, kwa zenu fadhaa, kusaka auni
Mukatawanyika, kukimbia baa, kwenda ugenini
Mukamiminika, mote kasambaa, kote mabarani
Nako kapokewa
Mukaauniwa
Mwengine mukawa, kwa yenu khiyana, munamukoloni -
Mshairikasti na Ali Mohammed wa Kilio cha Sisimizi
Taaluma yake ni Rasilimaliwatu, lakini fani yake ni ushairi. Jina lake ni Ali Mohammed, mshairi kutoka visiwani Zanzibar.
-
-
MFALME YUKO UCHI: Tujengeje Nchi?
We agreed to have an election and not the war
We agreed to have open and fair campaign
We agreed to listen to the voice from the ballot box
But for your treachery
All that we agreed
You easily tore them up
Then you started your perfidy
Your banditry
And full of hooliganism! -
The Poetcast with Sakina Taki / My Little Yellow Book
Sakina Taki, a poet from Nairobi, has found her peace in Zanzibar and for that she chose to launch her poetry collection, My Little Yellow Book, on the island. She speaks about healing, redemption, and redefining space, existence and essence.
#ThePoetcast
#Mshairikasti
#MyLittleYellowBook -
MSHAIRIKASTI: Mfaume Khamis, Mshairi Machinga
Ni nadra siku mbili kupita bila kukutana na shairi lake mtandaoni. Ni kama kwamba analielezea kila jambo maishani kwa njia ya ushairi. Anaamini ushairi ni rahisi, ni halisi na ni mwepesi. Jina lake ni Mfaume Khamis, na lakabu yake ni Mshairi Machinga.