12 episodios

.Hapa Tunauliza Maswali Kumi Ya Muziki Wetu Huu Wa Bongo Fleva.

Je Utawezana?

Utawezana? Podcast Utawezana? Podcast

    • MĂșsica

.Hapa Tunauliza Maswali Kumi Ya Muziki Wetu Huu Wa Bongo Fleva.

Je Utawezana?

    10 Za Korea

    10 Za Korea

    Ok. Tumerudi. Yeah. Tulisafiri Kidogo. Lakini Hatujarudi Kizembe. Tumejipanga. Haya Ni Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusiana Na Nchi Hii Ya Korea ambayo binafsi Nimekua Nikiiona Kwenye TV. Hivi Unajua kuwa Mzuzu Kwa Wanaume Korea Siyo Ishu Saaaaaana!! Au Kwamba Japan Ilishawaoneaga Sana Wakorea? Maybe Unajua Au Pengine Hufaham. Wewe Enjoy Tu. Mambo Mengine Baadae. Sawa?

    • 13 min
    Hivi Ataweza Kweli?

    Hivi Ataweza Kweli?

    Mtatusamehe Sana Kama Studio Ilikuwa Kwenye Ukarabati Wa Na Ndo Maana Misumari Nyundo Na Sauti Za Mafundi Zinasikika. Kwenye Episode Hii Ambayo Ndo Inatamatisha Hii Season, Nimekutana Na Jamaa Mmoja Hivi Bonge La Bwana Yaaani Anaitwa Sunny Na Kama Tulivyoanza Kwenye Episode 1 Basi Tunamaliza Kwa Kumuuliza Kijana huyu Maswali Kumi Ya Kimuziki. Je Ataweza? Uhakika Sina Sana Ila Kikubwa Cha Kusisitiza Ni Kuwa Wasanii wengi Sana Wametajwa Humu Kuanzia Alikiba Fally Ipupa Rich Mavoko Diamond Na Watu Wengine Kibao! Tafadhali Sana Subscribe!

    • 11 min
    Boomplay Most Followed

    Boomplay Most Followed

    Okay! Wakati Nimepeleka Meza Yangu Kwa Fundi ule muda Wa Kusubiria Matengenezo Nikaamua Nirekodi Hii Episode Ambayo Kwa Dhati Kabisa Inaelezea Wasanii Ambao Wana Followers Wengi Sana Kwenye Application Ya Boomplay Throughout..... Msanii Wa Kwanza Atakushangaza Sana Na Tafadhali Ukitaka Kunifokea Usisite Kunitafuta Pale Twitter Ili Niweze Kupata Maoni Yako. Tafadhali Enjoy Wakati Mimi Natafuta Usafiri Wa Kurudisha Meza Yangu Nyumbani 😀.... Enjoy!

    • 12 min
    Boomplay Artist Report This Week

    Boomplay Artist Report This Week

    Wasanii Wenye Streams Nyingi Zaidi Boomplay Kwa Wiki Hii Wamewekwa Wazi..... Tafadhali Enjoy Utawezana? Podcast!

    • 17 min
    Most Disliked Songs On Youtube!

    Most Disliked Songs On Youtube!

    Nilikuwa nna haraka Kidogo Wakati Narekod Nilikuwa Nawahi Kwenda Kunywa Chai Hii Episode Lakini Kitu Kizuri Ni Kwamba Nimekuletea Orodha Ya Video Ambazo Zimepata "Dislikes" Nyingi Sana Huko Mjini Youtube Kwa Tarehe 24 August 2020! Tuendeleee Kuwa Pamoja

    • 7 min
    Tunazifokea MTV Awards 2020

    Tunazifokea MTV Awards 2020

    Nikiwa Sokoni Niliamua Kuchukua Uamuzi Wa Kurekodi Hii Podcast Na Ndo Maana Kelele Zimekuwa Nyingi Sana Lakini Sikutaka Kuedit Ili Upate Uhalisia. Humu Ndani Utasikia Mafuso, Mavuvuzela, Sauti Za Madroo Na Kadhalika Lakini Kikubwa Tuendeleee Kubet Ili Kujua Ni Msanii Gani Anaweza Kubeba Tuzo Ya VMA Kwa Mwaka Huu 2020 Utawezana? Podcast Episode (6) Six...... Okay? Good!

    • 15 min

Top podcasts en MĂșsica

Palabras Mayores
RCN
100 Best Albums Radio
Apple Music
Anuel Aa
Julio Alejo
Rock a Domicilio
Alberto Marchena
MĂșsica Cristiana
MĂșsica Cristiana (Gratis)
Humor Voz Populi BLU
BluRadio