1 episode

Tamaa za aina nyingine ya maisha ni moja ya sababu kubwa inayosababisha watu kukosa kufurahia maisha.

Maisha Clinic ni podcast ambayo inalenga kukusaidia kijana na ndugu msikilizaji kuweza kuishi maisha ya furaha.

Kila mtu anaetafuta kufikia malengo fulani, maana yake anatafuta mabadiliko kutoka ktk hali moja kwenda nyingine.

Maumivu ni sehemu muhimu sana ya mabadiliko hayo. Watu wengi tunashindwa kufaulu sababu ya kuhofia kunadilisha mazoea yetu.

Maisha Clinic itajikita kukusaidia kufanya maamuzi yako binafsi, kujifunza kutokana na makosa na kuweka malengo machache yanayofikika.

Maisha Clinic Podcast mwalimu david

    • Education

    Jinsi ya kujijengea tabia ya kufanya maamuzi na kuyatekeleza.

    Jinsi ya kujijengea tabia ya kufanya maamuzi na kuyatekeleza.

    Mimi ni shuhuda mkubwa, Kuna wakati katika maisha nimetamani kufanya maamuzi lakini nikashhindwa kufanyua kwa wakati. Mpaka nilipokuja kuamua nilikuwa angalau tayari nimesha dhurika kwa kiasi chake. Kupitia najua haya, nimegundua kuwa hata kama kuna watu niliwategemea sana ktk kufanya maamuzi yangu, maumivu yote yatokanayo na kufeli kwa maamuzi hayo yaliniathiri mimi mwenyewe wala sio wao. Hata ilifika mahali ambapo niliona hata walionisaidia kuanguka kwangu wakinicheka na kushiriki katika kuniangamiza zaidi. Haiwezi ikawa imenitokea mimi tu. Naamini hata wewe msomaji na msikilizaji unaweza kupata somo katika hiki ambacho nimekuwekea katika episod hii ya kwanza ya maisha Clinic. Tafadhali usisite kuacha comments na hata kunicheki whatsup kwa namba 0683920991 ili kubadilishana mawazo. Karibuni sana.

    • 20 min

Top Podcasts In Education

Jari Sarasvuo podcast
Trainers' House
Simple Swedish Podcast
Swedish Linguist
Learning English Vocabulary
BBC Radio
The Mel Robbins Podcast
Mel Robbins
Coffee Break Swedish
Coffee Break Languages
The Subtle Art of Not Giving a F*ck Podcast
Mark Manson