
24 épisodes

Afrika Ya Mashariki RFI Kiswahili
-
- Actualités
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
-
Afrika Ya Mashariki - Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.
-
Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.
Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao. -
Afrika Ya Mashariki - Hofu kwenye familia zenye walemavu wa ngozi
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya hofu kwa familia zenye watu wenye ulemavu wa ngozi na jamii inayowazunguka magharibi mwa Tanzania.
-
Afrika Ya Mashariki - Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye miradi ya kikanda inayoshirikisha jumuiya ya afrika ya mashariki.
-
Afrika Ya Mashariki - Malbino walengwa Tanzania
Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.
-
Afrika Ya Mashariki - Umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislam
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya umuhimu wa elimu kwa waumini wa dini ya kiislamu katika ukanda wa Afrika ya mashariki.