24 épisodes

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

  • Musique
  • 1.0 • 1 note

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

  Muziki Ijumaa - JHikoman ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi

  Muziki Ijumaa - JHikoman ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi

  Mwanamuziki wa miondoko ya Rege kutoka nchini Tanzania, Jhikoman amezuru studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya na kuzungumzia kuhusu ujio wa wimbo wake mpya. Usikosi kutufollow kwa Instagram @billy_bilali

  • 10 min
  Muziki Ijumaa - Nyimbo za kuhamasisha Corona

  Muziki Ijumaa - Nyimbo za kuhamasisha Corona

  Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anakuletea Burudani ya nyimbo zinazo hamasisha kuhusu virusi vya Corona. usikosi pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @Billy_bilali

  • 11 min
  Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao

  Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao

  Historia ya Moja moja miongoni mwa makundi ya miondoko ya Hip Hop nchini Senegal Daara J Family.

  • 11 min
  Muziki Ijumaa - Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika

  Muziki Ijumaa - Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika

  Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kumjua baba yake.

  Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Muziki Ijumaa,akiangazia Maisha yake ya Kimuziki.

  • 11 min
  Muziki Ijumaa - Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika

  Muziki Ijumaa - Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika

  Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika na kupata umaarufu Mkubwa Duniani.

  Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Muziki Ijumaa kuangazia Safari yake ya Kimuziki.

  • 10 min
  Muziki Ijumaa - Pierrette Adams nyota isiozima

  Muziki Ijumaa - Pierrette Adams nyota isiozima

  Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea kung'ara licha ya umri wake. Sikiliza Makala haya, usikosi pia kutupa mapendekezo yako ni mwanamuziki gani ungelipenda tukuletee juma lijalo. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

  • 11 min

Avis d’utilisateurs

1.0 sur 5
1 note

1 note

Classement des podcasts dans Musique

D’autres se sont aussi abonnés à

Plus par RFI Kiswahili