20 min

Nyumba ya Sanaa - Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania Nyumba ya Sanaa

    • Arts

Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.

Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na kikundi cha WADACA kutoka Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania.

Classement des podcasts dans Arts

Plus par RFI Kiswahili