24 épisodes

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Nyumba ya Sanaa RFI Kiswahili

  • Arts

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

  Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

  Nyumba ya Sanaa - Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

  Umuhimu wa Ushairi katika kukuza fasihi,Kutana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya sanaa.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

  Nyumba ya Sanaa - Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

  Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. Tunaangazia hili na afisa katka bodi ya filamu nchini humo Bonventure Kioko.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

  Nyumba ya Sanaa - Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

  Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa Tanzania mpaka jijini Dar es salaam kufanya sanaa hii.

  Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Viongozi wa Bendi hiyo.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

  Nyumba ya Sanaa - Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

  Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda kurembwa katika sura zao ili kuonekana warembo na Watanashati katika shughuli zao za Kawaida.

  Makala haya yameangazia Sanaa hii, Steven Mumbi amezungumza na Hilda Koshuma, Mwalimu na Msanii anayefanya Sanaa hii

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

  Nyumba ya Sanaa - Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

  Sanaa ya Uchoraji wa picha Halisi ni Sanaa nyingine inayopendwa nchini Tanzania, kutana na Mchoraji Agasto Ngumba akizungumzia Sanaa hiyo katiak Makala haya.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

  Nyumba ya Sanaa - Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

  Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.

  Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na kikundi cha WADACA kutoka Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania.

  • 20 min

Classement des podcasts dans Arts

Plus par RFI Kiswahili