Nyumba ya Sanaa RFI Kiswahili
-
- Arts
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
-
Muziki wa Taarab na chid boy mpiga kinanda wa bendi ya nakshi nakshi
Muziki wa Taarab unashehenezwa na mirindimo ya vyombo kwa kisasa sambamba na Kinanda , Kutana na Chid Boy Mpiga kinanda wa Bendi ya Nakshi Nakshi na Mmiliki wa Bendi hiyo.
-
Muziki wa kizazi kipya na Kadason kutoka nchini Tanzania
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya.
-
Huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania
Hospitali ya Inuka iliyo katika Wilaya ya Makambako Mkoani Njombe nchini Tanzania ni moja ya hospital inayotoa huduma ya utengamao kwa walemavu wa viungo na kuibua tabasamu kwa wana wa taifa hili kutoka mikoa mbali mbali nchini humu.
-
Zanzibar: Wasani waliotumbuiza katika tamasha la sauti za busara
Wasani mbali kutoka Afrika walihudhuria tamasha hilo wakiwemo wale wa jamii ya wamaasai kutoka Kenya.
-
Zanzibar: Kuanzishwa kwa sauti za busara festival
Tamasha la sauti za busara
-
Ubunifu wa mavazi na Doreen Mashika Visiwani Zanzibar
Doreen Mashika ni mbunifu kutoka visiwani Zanzibar