29 episodes

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Nyumba ya Sanaa RFI Kiswahili

  • Arts

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ua usanifu wa michoro nchini Tanzania

  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ua usanifu wa michoro nchini Tanzania

  Sanaa ya usanifu wa michoro inayotumika katika nguo ni Sanaa nyingine inayosheheneza utamaduni wa urembo katika Kanga na Vitengem mavazi maalum kwa Wanawake barani Afrika.

  Warda Aboubakari ni Msichana anayetamani Sanaa hiyo kutambulika viwandani, Ungana na Steven mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Muziki wa singeli nchini Tanzania

  Nyumba ya Sanaa - Muziki wa singeli nchini Tanzania

  Muziki wa singeli nchini Tanzania, umekuwa maarufu sana hasa jijini Dar es salaam ? Siri ni nini ? Ungana nasi.

  • 19 min
  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya utengenezaji wa vibonzo

  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya utengenezaji wa vibonzo

  Utengenezaji wa picha jongefu ni Sanaa nyingine inayoibuka kwa kasi nchini Tanzania, Wachoraji wanatumia vipaji vyao kusanifu Michoro inayosimulia hadithi  kwa njia ya video fupi ilitengenezwa kwa kutumia katuni, Je Sanaa hiyo ikoje?

  Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Reggae kurejea Afrika - Jah Bone D

  Nyumba ya Sanaa - Reggae kurejea Afrika - Jah Bone D

  Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka nchini Rwanda, Jah Bone D, baada ya kuishi Uswizi kwa miaka zaidi ya 20 sasa anataka kurejesha muziki wa Reggae katika nchi za Afrika Mashariki.

  Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Jah Bone D katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya uchoraji Tanzania - Nasma Mzee

  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya uchoraji Tanzania - Nasma Mzee

  Kutana na msichana wa mwaka wa tatu Chuo kikuu cha Dar es salaam,Nasma  Mzee  akichukua Shahada ya Kwanza ya Sanaa na Ubunifu aliyechagua kuwa Mchoraji ili kuwasilisha Maudhui ya Sanaa aliyosomea.

  Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Nasma Mzee.

  • 20 min
  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya utunzi wa mashairi nchini Tanzania

  Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya utunzi wa mashairi nchini Tanzania

  Kutana na Mshairi Zawadi Mengele aliyejikuta akifanya Sanaa ya Ushairi baada ya kumzawadia Mama yake shairi lililo amsha hisia ya Malezi.

  Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi  katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na mshairi huyo akianisha namna anavyopokelewa Tanzania.

  • 20 min

Top Podcasts In Arts

More by RFI Kiswahili