5 分鐘

Je, ulipo leo ndipo ulipotaka kuwa miaka 5 iliyopita‪?‬ InspireFikra

    • 自我提升

Binadamu ana mipango na matarajio mengi sana, lakini wakati mwingine maisha humpeleka kwenye njia tofauti mbali na ile sehem aliyokua anatarajia kufika baada ya kipindi fulani. Je ulipo sasa ndipo ulipotarajia kuwa miaka mitano iliyopita? Kama sivyo, unafanyaje? Agness anaongele hili kwenye episode ya kwanza ya Inspire Fikra. Karibu