Maarifa ya Maisha Kelvin Mosess Kilevo
-
- Education
Kupitia podcast hii, ongeza maarifa mbalimbali kuhusu maisha.
-
Kwa nini unahitaji elimu ya fedha
Kama raia wa taifa lolote, tuna haki na wajibu katika mataifa hayo. Ni haki na pia ni wajibu wako kufahamu mambo mbalimbali yanayohusu pesa.