10 episodes

Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.

SAUTI-SIKIKA Jeremiah Paul Wandili

    • Society & Culture

Sauti iliyo ndani yako ina nguvu kuliko sauti nyingi zilizo nje yako. Kubali kusikiliza sauti yako ya ndani. Sauti ya ndani ina nguvu ya kuleta mabadiliko. Ipo nguvu ya ndani katika sauti yako.

    Sauti Ya Matumaini-Amos Mwijonge.

    Sauti Ya Matumaini-Amos Mwijonge.

    Usipofuta kibao, huwezi jua kwanini gari la taka linaoshwa hili liweze kubeba taka tena. Maana cha muhimu kwetu sio miaka uliyoishi katika maisha yako, cha muhimu kwetu ni thamani ya maisha yako katika miaka uliyoishi. Kumbuka mito hainywi maji yake na miti haili matunda ya mti wake. Sikiliza sauti ya Amosi.... kumbuka hautakumbukwa kwa ulichojifunza, utakumbukwa kwa ulichofundisa wengine duniani. Fuatilia kazi nzuri za Amosi hapa Maisha ni mchezo wa kupona...... 

    • 4 min
    Sauti Ya Dr Mipango-Waziri wa Fedha na Mipango, Tanzania

    Sauti Ya Dr Mipango-Waziri wa Fedha na Mipango, Tanzania

    Mh, Waziri Dr. Phillip Mipango, anasikika moja kwa moja kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipaza sauti kulelezea Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2020/21 na hali ya Uchumi wakatika wa Bunge la Bajeti Tarehe 11/06/2020. Je, unajua sekta zenye kuwekewa kipaumbele kwa Mwaka 2020/21 na je, unajua #Covid19 imetikisa Uchumi... sikiliza upate kujua mpango wa Serikali katika kuimarisha Afya, Miundombinu, Elimu na Maendeleo kwa ujumla. 

    • 59 min
    Sauti Ya Joel Nanauka-Lijue Kusudi Lako

    Sauti Ya Joel Nanauka-Lijue Kusudi Lako

    Kila siku unapo amka unapaswa kujiuliza maswali haya; Je, ni maswali gani na kuna sauti gani katika kujiuliza maswali hayo ili uweze kujua kusudi lako. Fuatilia Dakika 3 katika mfululizo wa Sauti Sikika, isikilize Sauti ya Joel Nanauka. Pia unaweza kumfuatilia Joel katika Mitandao ya Kijamii, Instagram; https://www.instagram.com/joelnanauka_/ na Facebook; https://web.facebook.com/jnanauka/ pia katika Channel yake ya Youtube; https://bit.ly/Joel-Nanauka-Youtube  

    • 3 min
    Sauti Ya Theresia- Sauti yake akizungumzia Mabadiliko Chanya wakati wa Covid-19.

    Sauti Ya Theresia- Sauti yake akizungumzia Mabadiliko Chanya wakati wa Covid-19.

    Theresia anasimulia namna ambavyo Covid19 imekuwa ni changamoto chanya kwake. Maana Theresia amechukulia covid19 katika uhalisia wake zaidi yeye alijiepusha kuishi kwa hofu. Anasisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhali na kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya. Amezungumza mengi, ikiwemo swala zima la kujenga mahusiano mazuri na familia, kutumia muda mzuri pia kujiendeleza. Hongera sana Theresia kwa Sauti yako katika Mabadiliko Chanya. Kumbuka unaweza kushare Sauti yako kwa namba +255758044443. 

    • 20 min
    Sauti Ya Mabadiliko

    Sauti Ya Mabadiliko

    Unajua, mabadiliko ni mchakato, ni hatua.. lakini je unajua Mabadiliko ni gharama? na ili kufikia mabadiliko lazima ulipe gharama. Podcast hii inakupa nafasi ya kufahamu sauti ya mabadiliko ili uweze kujiandaa kuisikiliza na kulipa gharama katika kufikia mabadiliko. Ahsante sana, karibu. Tuma maoni yako na sauti yako ya Mabadiliko katika namba hii ilisajiliwa Whats App +255758044443 nasi tutashare podcast yako. Ahsante sana, furahi sauti ya mabadiliko.  

    • 25 min
    Sauti Ya Sheila-Changamoto za Kutafuta Ajira kipindi cha #Covid-19

    Sauti Ya Sheila-Changamoto za Kutafuta Ajira kipindi cha #Covid-19

    Unajua changamoto wanazopitia wasichana katika kutafuta Kazi pindi tu wakiwa wametoka Chuo? Aiseee ni kisanga, msikilize Sheila hapa akipaza Sauti katika Mtaa huu #Sauti-Sikika hautojutia mazee..... 

    • 14 min

Top Podcasts In Society & Culture

חצי הכוס המלאה
שלמור שטרוזמן
גיקונומי
ראם שרמן ודורון ניר
дочь разбойника
libo/libo
כל הקלפים על השולחן עם משה רדמן
Radman's cards podcast
סערה מושלמת
יובל דרור
فنجان مع عبدالرحمن أبومالح
ثمانية/ thmanyah