16 min

Episode 1 – Facts about coronavirus – Ukweli kuhusu virusi vya corona Ifahamu Corona - Anatomy of Corona

    • Medicine

Kwenye kipindi cha kwanza cha Ifahamu Corona tutasikia ukweli kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu chanzo cha virusi vya corona, mwenendo wake na kujibu kwa mfano swali hili kubwa: Haya maradhi yataisha lini?

In the first episode of Anatomy of Corona, we will hear facts about the coronavirus. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the birth of the virus, its behaviour and the big question: How long will the pandemic last?