6 min

MAMBO YATAKAYO KUZUIA KUFIKIA MALENGO, NDOTO NA MAFANIKIO 2024 Zahir Gomelo

    • Automiglioramento

Ukamilishaji wa malengo,ndoto uchochea mafanikio ya kila mmoja wetu, ni matokeo ya nidhamu ya hali ya juu, bila nidhamu ya muda wako, pesa zako au marafiki na mengineyo ni ngumu sana kufanikiwa katka malengo na ndoto zako. Kwa kuzingatia hilo 2024 nataka uwe bora kwako, kwa kuanzi kujua vitu au mambo amabyo utufelisha wengine kila mwaka. Na ndo maana kwenye video nitakuelezea mambo yanaweza kukuzuia kufikia malengo, ndoto na mafanikio mwaka huu 2024. Najua kila mwaka uwa tunautaratibu kuweka malengo, na resolutions mbalimbali lakini kufikia February unakata tamaa kwasababu ya changomoto au mambo ninayoshare na wewe leo. Karib