50 episodi

Ni salama rohoni mwangu ni Podcast inayokusaidia kuboresha mahusiano yako na Mungu kupitia mafundisho mbalimbali yanayotolewa na wahubiri, walimu na wachungaji kiganjani mwako. Tunakusaidia kuweza kuanza siku vyema ukiwa na neno la mungu kama taa itakayokuwa ikikuongoza katika shughuli zako za kila siku. Kupitia Ni Salama tutakuletea mafunzo na masomo yatakayokuwezesha kuelewa zaidi neno la Mungu linalopatikana kwenye Biblia huku tukikuongezea hamu na mvuto wa kuisoma Biblia yako. Karibu

Ni Salama Adrian Nzamba

    • Religione e spiritualità

    Akili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yako

    Akili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yako

    Kuna wakati akili zako zinaweza kushikwa na ukashindwa kufanya mambo yanayoweza kukufanikisha. Pata fundisho la kufahamu msingi wa swala la akili na namna Mungu anaweza kukufungua na ukaweza kufanikiwa kwenye mambo yako.

    • 9 min
    Nafsi na mwili viliumbwa vimilikiwe na roho

    Nafsi na mwili viliumbwa vimilikiwe na roho

    Mungu aliweka kwa makusudi roho yako imiliki nafsi na mwili lakini dhambi ilikuja kukorofisha uumbaji. Kaa ujifunze zaidi kupitia somo hili lililotolewa na Mwalimu Christopher Mwakasege.

    • 9 min
    Unapookoka neno la mungu huanza kushughulikia akili zako

    Unapookoka neno la mungu huanza kushughulikia akili zako

    Mungu ametupatia akili tuweze kuzitumia kwa ajili ya kutunufaisha na kutuwezesha kukua kiroho. Kwa maana macho na masikio yetu vinatusaidia kusoma biblia na akili ndiyo inayotupatia uelewa wa neno lililoandikwa kwenye Biblia.

    • 9 min
    Uko mahali kwenye maisha yako kila kitu kimesimama, Yesu anakutafuta

    Uko mahali kwenye maisha yako kila kitu kimesimama, Yesu anakutafuta

    Luka 8:26‭-‬39
    “Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese. Kwa kuwa amemwamuru yule pepo mchafu amtoke mtu yule. Maana amepagawa naye mara nyingi, hata alilindwa kifungoni na kufungwa minyororo na pingu; akavikata vile vifungo, akakimbizwa jangwani kwa nguvu za yule pepo. Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jeshi; kwa sababu pepo wengi wamemwingia. Wakamsihi asiwaamuru watoke kwenda shimoni. Basi, hapo palikuwa na kundi la nguruwe wengi wakilisha mlimani; wakamsihi awape ruhusa kuwaingia wale. Akawapa ruhusa. Pepo wakamtoka mtu yule wakawaingia nguruwe, nalo kundi lilitelemka gengeni kwa kasi, wakaingia ziwani, wakafa maji. Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani. Watu wakatoka kwenda kuliona lililotokea, wakamwendea Yesu, wakamwona mtu yule aliyetokwa na pepo ameketi miguuni pa Yesu, amevaa nguo, ana akili zake; wakaogopa. Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza jinsi alivyoponywa yule aliyepagawa na pepo. Na jamii ya watu wa nchi ya Wagerasi iliyo kando kando walimwomba aondoke kwao, kwa kuwa walishikwa na hofu nyingi; basi akapanda chomboni, akarudi. Na mtu yule aliyetokwa na pepo alimwomba ruhusa afuatane naye; lakini yeye alimwaga akisema, Rudi nyumbani kwako, ukahubiri yalivyo makuu Mungu aliyokutendea. Akaenda zake, akihubiri katika mji wote, yalivyo makuu mambo aliyotendewa na Yesu.”

    • 9 min
    Tumia sala hii kuachilia Damu ya Yesu ifungue akili yako

    Tumia sala hii kuachilia Damu ya Yesu ifungue akili yako

    Unapitia kipindi kigumu na unatamani kupata sala itakayokuongoza kwenye kuifungua akili yako ipate kufanya kazi kufuatana na Mpango wa Mungu kwenye maisha yako. Sikiliza na fuata sala hii
    Neno: Ayubu 32:8
    “Lakini imo roho ndani ya mwanadamu, Na pumzi za Mwenyezi huwapa akili.”

    • 10 min
    Akili za mwanadamu zingekuwaje kama tusingepitia dhambi, ungekuwa wapi sasa?

    Akili za mwanadamu zingekuwaje kama tusingepitia dhambi, ungekuwa wapi sasa?

    Mwanzo 41:33‭-‬36
    “Basi, Farao na ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi ya Misri. Farao na afanye hivi, tena akaweke wasimamizi juu ya nchi, na kutwaa sehemu ya tano katika nchi ya Misri, katika miaka hii saba ya kushiba. Na wakusanye chakula chote cha miaka hii myema ijayo, wakaweke akiba ya nafaka mkononi mwa Farao wakakilinde kuwa chakula katika miji. Na hicho chakula kitakuwa akiba ya nchi kwa ajili ya miaka hiyo saba ya njaa, itakayokuwa katika nchi ya Misri, nchi isiharibike kwa njaa.”

    • 9 min

Top podcast nella categoria Religione e spiritualità

Anima Ribelle Podcast con Ellis De Bona
Ellis De Bona
Taccuino celeste
Riccardo Maccioni - Avvenire
Il Vangelo
Avvenire
Soli
storielibere.fm
Cerco il Tuo volto
Cerco il Tuo volto
Sounds True: Insights at the Edge
Tami Simon

Potrebbero piacerti anche…