7 min

Unawezaje kutunza/kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida‪?‬ Zahir Gomelo

    • Self-Improvement

Kutunza pesa limekuwa ni jambo gumu sana kwa wengi na wengi wamekuwa wakifikri kuwa ili uweze kutunza pesa lazima uwe na mshahara mkubwa au kipato kikubwa sana jambo ambalo si la kweli. Swali ni unawezaji kuweka pesa/fedha ukiwa na mshahara/kipato cha kawaida? "Siyo Kiasi gani chA fedha tunaingiza ndicho kitakachoamua mafanikio yetu bali ni kwa kiasi gani tunaweza kutunza"  Hii inafananishwa na tabia ya masikini walio wengi katika kutafuta na kutumia pesa.Masikini hutengeneza fedha kisha huzitapika kwa kuwa na matumizi yasiyo ya lazima na hatima'ye huendelea kuwa masikini. Mafanikio yanataka juhudi nza muendelezo na kujitoa sana.Iwapo hatuwezi kulipa gharama kwenye maisha yetu, basi hatuwezi kufanikiwa katika kitu chochote na moja ya gharama kubwa sana tunayohitaji kulipa ili tuweze kufanikiwa kifedha ni wezo wa kuweka angalau 10% mpaka 20% ya kila fedha tunayoipata kwa malengo yetu ya baadaye. Unaweza kuanza kuweka angalau 10% au hata 5% ya kila mapato yako ya siku, wiki au mwezi kwaajili ya lengo lako maalumu ulilojiwekea bila ya kuangalia shida ulizo nazo sasa hivi. Kwahiyo unawezaje kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida.Karibu