MOZE KIMARO Moze Kimaro
-
- 宗教/スピリチュアル
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.
-
SABURI YA IMANI KWA MKRISTO.
KUNA wakati tunapitia Mambo na wakati mgumu sana katika maisha yetu. Lakinii NENO LA MUNGU linatutaka tuwe na SABURI / UVUMILIVU KWA MUNGU UNAOTUSAIDIA KUSUBIRIA UTIMILIZAJI WA AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU.
-
MWAMINI MUNGU KATIKA SHIDA YAKO.
HAKUNA JAMBO lisilowezekana kwa MUNGU WETU. HAKUNAA GUMU KWA MUNGU WETU.
-
MTIHANI WA IMANI
Mpendwa IMANI zetu zinakutana na mitihani au majaribu mbalimbali ili uko ushindi wa kutusaidia KUSHINDA NA KUFAULU MTIHANI WA IMANI.
-
MUNGU ANAWEZAA KUTENDA MAAJABU NA MUUJIZA USIYOTARAJIA
Mpendwa iko NEEMA YA MUNGU yenye UWEZO wa kututendea MAAJABU NA MUUJIZA hata katika kipindi ambacho hatutarajii chochoteee au hutuwezi kuamini tena Jambo fulanii.
-
TABIA / SIFA KUU ZA MKRISTO WA KWELIIIII.
Mpendwa Ziko sifa au tabia zinazowatambulisha WAKRISTO wa kweli kabisa. Tabia au sifa hizo ni tofautii kabisaa na uanachama wa dini au dhahebu la mtu.
-
USHUHUDA WA MUNGU KATIKA MAISHA YA MWAMINI.
Mpendwa zipo nyakati za kupimwa IMANI zetu na kuthibitishwa MBELE ZA MUNGU. Sio kipindi rahisi LAKINI MARA ZOTE IKO NEEMA YA MUNGU YENYE KUTUWEZESHA KUSHINDA YOTE.