PmpEntertainment V Luscious
-
- Music
Penzi la meek mill na milano limefikia mwaisho wameripotiwa kuachana wawili hao ambao walipata mtoto hivi karbuni kupitia twiter meek mill alitoa taarifa hiyo kwabkuandika wameachana kwa uzur tu na wamebaki kuwa marafiki na walezi wa mtoto wao sababu za wawili hao kuachana hazijawekwa wazi
-
Zuchu msanii wa kwanza kutoka tanzania kufikisha stream 3m
Msanii kutoka wcb wasafi amekuwa msanii wa kwanza tanzania kuweka rekodi ya kufikisha idadi ya waskikizaji steam 3m ndani ya mtando wa boomplay
-
Trending story about entertainment
Im not a businessman but i am a business man,rapa na mfanya biashara tajiri Jay_Z ameendelea kuutemdea haki msemo wake huo jana zimetoka taarifa kwamba kampuni yake ya roc nation imepanga kukuza na kuendeleza kiwanda cha muziki hasa katika mji wa Brooklyn ambao jay_z anatokea
-