20 episodes

Tunawapa vijana maarifa na maujanja ili waweze kufanya maamuzi bora juu ya maisha yao

TUJIBEBE Tujibebe Tanzania

    • Fiction

Tunawapa vijana maarifa na maujanja ili waweze kufanya maamuzi bora juu ya maisha yao

    Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Pili

    Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Pili

    Kutana na Chale na Mina kwenye kipindi hiki, ambao mahusiano yao yanapitia changamoto baada ya Mina kupata ujauzito usiotarajiwa. Je, watakabiliana vipi na changamoto hii? Pakua na sikiliza kipindi hiki kufahamu.

    • 16 min
    Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Kwanza

    Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Kwanza

    Kutana na Naisula na Nakato kwenye kipindi hiki ambao wanajifunza jambo jipya linalobadilisha kabisa maisha yao na familia zao. Je ni jambo gani hilo? Pakua na sikiliza kipindi hiki upate kulifahamu

    • 14 min
    Msimu wa Pili - kipindi cha sita

    Msimu wa Pili - kipindi cha sita

    Chanzo chema, mwisho mwema - pakua kipindi cha sita!

    • 15 min
    Msimu wa Pili- Kipindi cha tano

    Msimu wa Pili- Kipindi cha tano

    Ya Judi silo ya Leo - Pakua kipindi cha tano!

    • 15 min
    Msimu wa Pili- Kipindi cha Nne

    Msimu wa Pili- Kipindi cha Nne

    Kila mwanzo ni mzito - Pakua kipindi cha nne!

    • 15 min
    Msimu wa Pili- Kipindi cha tatu

    Msimu wa Pili- Kipindi cha tatu

    Hamu haiji bila kupenda- Pakua kipindi cha tatu kusikiliza!

    • 14 min

Top Podcasts In Fiction

វិភាគរឿងសាមកុក
Hout Sengkea
Tower 4
Bloody FM
The Classic Tales Podcast
B.J. Harrison
Erotica Lust
Goran Radanovic
成人睡前故事|温柔男声哄睡夜听治愈助眠晚安电台
徐之末
پادکست رخ
Rokh Podcast