8 集

This podcast is about feature stories, local reports, highliting challenges facing the community and how to best to solve those challenges and carry out research and education interviews.

Alice Njeri Muthoni Alice Njeri

    • 新聞

This podcast is about feature stories, local reports, highliting challenges facing the community and how to best to solve those challenges and carry out research and education interviews.

    Makala kuhusu siku ya mzazi mama duniani

    Makala kuhusu siku ya mzazi mama duniani

    Siku ya kumkumbuka mzazi mama huidhinishwa kila jumapili ya kwanza mwezi wa tano ambayo ni Leo. AKina mama hoiyeee!!!

    • 3 分鐘
    Makala kuhusu siku ya wanawake Duniani

    Makala kuhusu siku ya wanawake Duniani

    Siku ya wanawake kote duniani huadhimishwa tarehe 8 mwezi wa tatu kila mwaka. Yafuatato ni makala maalum kuhusu siku hii

    • 11 分鐘
    Makala kuhusu siku ya radio duniani

    Makala kuhusu siku ya radio duniani

    Kawaida, siku ya radio duniani huadhimishwa kila tarehe 13 februari ya kila mwaka. Mwaka huu haujaachwa nyuma kauli mbiu ikiwa ULIMWENGU MPYA, RADIO MPYA

    • 5 分鐘
    Umekuwa ukiziimba tangu utotoni nyimbo za krisimasi. Lakini je, unajua nani aliziimba na maana yake

    Umekuwa ukiziimba tangu utotoni nyimbo za krisimasi. Lakini je, unajua nani aliziimba na maana yake

    Je, ni nini maana ya nyimbo ambazo huimbwa msimu wa krisimasi na asili ya nyimbo hizi ni ipi?? Kwa Mengi zaidi,skiza makala yafuatayo.

    • 4 分鐘
    Jinsi ripoti ya katiba patanifu ya kitaifa BBI ilivyokuja kuundwa

    Jinsi ripoti ya katiba patanifu ya kitaifa BBI ilivyokuja kuundwa

    Baada ya ghasia za baada ya uchaguzi,nchi ya Kenya ilichafuka sana. Chuki, vifo nakadhalika. Ili kuondoa mambo haya. Rais Uhuru na Raila odinga wakaonelea waje na salamu Za heri maarufu handshake na papo hapo mtoto BBI akazaliwa

    • 5 分鐘
    Siku ya walemavu duniani kawaida huwa ni tarehe 3 kila disemba.yafuatayo ni makala maalum ya viljema

    Siku ya walemavu duniani kawaida huwa ni tarehe 3 kila disemba.yafuatayo ni makala maalum ya viljema

    Pengine ushawahi patana na mlemavu na ukamdharau na labda pengine ukambeza!!! Lakini unalopaswa kujua ni kuwa eti, "Kilema ni binadamu " na wana haki Sawa na binadamu yeyote Yule.

    • 3 分鐘

關於新聞的熱門 Podcast

Erin Burnett OutFront
CNN
Hong Kong Today
RTHK.HK
The Daily
The New York Times
鏗鏘集
RTHK.HK
神州理財小百科
RTHK.HK
Global News Podcast
BBC World Service