40 min

DHAMBI AU KUTENDA DHAMBI Yatokayo Madhabauni

    • Christianity

Dhambi au kutenda dhambi kunamfanya mtendaji kutengwa na Mungu si kwa sababu Mungu ana mchukia Mtu huyo bali dhambi ndio humtenga Mtu huyo na Mungu. Matokeo ya dhambi ni kuwa humfanya mtendaji kila wakati kujutia dhambi zake na kutaka kuacha kutenda dhambi, ila wengi hawajui watafanyaje ili kutoka katika dhambi. Wengi hutafuta namna yakutoka lakini hawajui kwamba ipo njia sahihi ya kutoka kwenye dhambi, kuwa huru na kurejesha uhusiano na Mungu. Kwenye podcast hii ukisikiliza kwa makini utaipata njia ya kutoka katika dhambi. karibu uijue njia. Ni mimi Mtumishi wako Elibariki Solomon kutoka WORD ALIVE CENTRE, Kibaha. 0747556105