37 min

KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGU Mrs Loureen J

    • Christianity

Ni vizuri sana kijana wa k**e au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya vijana ya kimapenzi, yanayoweza kupelekea ndoa). Mara nyingi vijana hupuuzia sana hili ila yapo mambo mengi sana yanaweza yasiende sawa kama jambo hili halijaangaliwa vyema, mambo hayo tutayajadili kwenye meza kwa kiwango tutachojaliwa. Je unayetaka kutekwa naye kwenye pendo ana mahusiano gani na Mungu?? KARIBU  

---

Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/loureen-jaspin/message