SautiPodcast SautiPodcast
-
- News
Hi My name is Isack Isack and this is my podcast, Over here we talk about Drama, Relationship, Various Trends, Music, Technology, Politics And Sports
-
S03E04>> HIZI NDIZO SIRI 11 ZA KUFANIKIWA MAISHANI MWAKO
Zifahamu siri 11 muhimu zitakazokusaidia kufanikiwa maishani mwako!
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message -
S03E03>> WANAWAKE WAACHE KUJIKUNA NYWELE ZA KICHWANI
Wanawake wanakuna sana nywele za kichwani, swali je? Ni mba, au uchafu🤔
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message -
S03E02>> AINA 6 YA WATU HATARI KATIKA MAISHA YAKO.
Fahamu aina 6 ya watu hatari katika mzunguko wa maisha yako!
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message -
S03E01>> MAMBO 6 YA KUZINGATIA UNAPOAANZA MWAKA!
Haya ni mambo sita (6) yakuzingatia pale unapoaanza mwaka ili kufanya mwaka wako kuwa wa mafanikio makubwa.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message -
S02E26 >> KWANINI MAHUSIANO MENGI YA VIJANA HIVI SASA HAYADUMU?
Je unadhani ni kwanini na kitu gani kinapelekea mahusiano mengi ya vijana kutodumu hivi sasa? Bonyeza link hiyo kusikiliza sababu zake?
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message -
S02E25 >> MOTIVATIONAL SPEAKER WANAMSAADA WOWOTE KATIKA MAISHA YAKO?
Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au?
Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii!
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sautipodcast/message