10 min.

CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

    • Boeken

Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambalo unaweza kufanya ni kujua nini hasa kinachochochea kwa kiwango kikubwa migogoro hii katika nyakati hizi kuliko wakati mwingine wowote..katika episode hii Deogratius ametoa dondoo chache muhimu ambazo zimekuwa chachu kwa migogoro mingi katika mahusiano. Kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME sasa kinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0715104034