
410 afleveringen

SBS Swahili - SBS Swahili SBS Radio
-
- Nieuws
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
-
Haki za watoto Australia
Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa haki za mtoto, ni makubaliano yakimataifa kwa haki za binadam yanayo julikana pia kama mkataba wa haki za binadam, unao elezea haki maalum ambazo watoto na vijana wanaweza dai.
-
Taarifa ya Habari 24 Mei 2022
Waziri Mkuu Anthony Albanese, ameshiriki katika mkutano wake wa kwanza wa QUAD mjin Tokyo, ambako ameelezea vipaumbele vyakimataifa vya serikali yake mpya.
-
Je! vijana wa A-League All Stars wataweza dhibiti makali ya FC Barcelona?
Siku moja inasalia kwa vijana wa A-League All Stars, kukabiliana na wakali wa ligi kuu ya Uhispania FC Barcelona mjini Sydney, Australia.
-
Wagombea kutoka tamaduni mbali mbali wabadili sura ya bunge la taifa
Serikali ya shirikisho inatarajiwa kuwa na sura tofauti, baada ya wagombea mbali mbali kushinda katika uchaguzi mkuu.
-
Taarifa ya Habari 22 Mei 2022
Waziri Mkuu mteule Anthony Albanese, amesema Australia inavipaumbele vipya mbele ya mkutano wa QUAD mjini Tokyo.
-
Alfred aeleza sababu zakujiondoa katika kampeni za ubunge wa Chesumei
Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya, zina endelea kupamba moto haswa baada ya vyama kufanya mchujo wa wagombea pamoja nakuwatea vinara na manaibu wao.