Siasa: Politics Inside Out. Chatter
-
- Nieuws
Podcast ya kiswahili inayopanga kukuelimisha na kukuelekeza siasa ndani na nje. Podcast pekee yenye taarifa muhimu unazotaka kusikia kuhusu demokrasia.
-
Vyama vya siasa na wanachama wake.
Kufukuzwa kwenye chama kwa sabab ya utovu wa nidhamu umekua deal siku za karibun lakini unaharibu demokrasia katika vyama. Tabia hii inabidi itolewe
-