15 afleveringen

Radio host Rehema Nkalami is musing about life, fashion, gossip and politics in the swahili speaking parts of the world.

Swahili Talk Radio Podcast Rehema Nkalami: Swahili speakring radio host

  • Maatschappij & cultuur

Radio host Rehema Nkalami is musing about life, fashion, gossip and politics in the swahili speaking parts of the world.

  Mzungu Kichaa "Ubaguzi baina ya wazungu"

  Mzungu Kichaa "Ubaguzi baina ya wazungu"

  Mzungu Kicha akiwa katika mahojiano na Swahili Talk Radio.

  Akijifungua kuhusu, Mziki wa Bongo, Ubaguzi baina ya wzungu,

  na maisha yake kwa ujumla kama MBongo mhamiaji.

  • 29 min.
  Wazazi wa Ughaibuni

  Wazazi wa Ughaibuni

  Kila malezi yanakuwa magumu au marahisi kulingana na mazingira, mila na destuli ya mahali ulipo.

  Kwenye podcast ya leo tunajaribu kugusia hili.. 

  • 9 min.
  Serekali Inatupa Madeni

  Serekali Inatupa Madeni

  Kipindi hiki kinaongelea jinsi gani inakua ngumu kwa wageni wanao hamia kwenye nchi za kigeni ku-adopt mila na desturi za nchi hiyo, nanini kinakua kigumu.

  • 10 min.
  Mtoto wa kitanzania kuunganisha watanzania Jylland/Denimark.

  Mtoto wa kitanzania kuunganisha watanzania Jylland/Denimark.

  Tarere 25.07-2020 alizaliwa mtoto wa kitanzania na kuweza kuwaunganisha wanzania wengi wa Jylland/Denmark

  • 16 min.
  Maendeleo ya hali ya Corona criss Denmark

  Maendeleo ya hali ya Corona criss Denmark

  - Utaratibu wa kufungua mashule baada ya karantin.

  - Pasaka iliendaje ndani ya karantin.

  - Hadhali za kisaikolojia kwa ajili ya Corona -V

  - New members of ´Swahili Talk radio. 

  • 12 min.
  Je kinatokea nini baada ya kulazwa na Corona?

  Je kinatokea nini baada ya kulazwa na Corona?

  Sikiliza swahili podcast inavoelezea kuhusu hili swala?
  Sikiliza Swahili Talk Radio Podcast inayvoelezea kuhusu hili swala

  • 8 min.

Top-podcasts in Maatschappij & cultuur

Luisteraars hebben zich ook geabonneerd op