4 episodes

so much more about entertainment, Music, sports, lifestyle

Homefm radio online HOMETV ONLINE

    • Økonomi

so much more about entertainment, Music, sports, lifestyle

    NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ? Episode 02

    NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ? Episode 02

    Karibu tena usikilize muendelezo wa episode ya kwanza ilikua inasema NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA? na leo tupo na PETER SAGATWA au unaweza kumuita MC Masai karibu na uenjoy the podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms ikiwemo Anchor.fm yenyewe lakini pia kupia iTunes spotify googleplaystore breaker ITunes nakadhalika.

    • 54 min
    NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ?

    NIWE NA VITU GANI ILI NIITWE KIJANA NILIYE FANIKIWA ?

    Niwe na vitu gani ili niitwe kijana niliye fanikiwa ? ni episode inayo jaribu kutuelewesha kuhusu maana au tafsiri sahihi nini maana ya mafanikio kwa mtu au watu. MAFANIKIO NI NINI? ..Ni hali ya mtu kutimiza au kufanikisha kusudi au sababu ya kuwepo kwake. Inaambatana na mtu kujua kwanza kusudi la kuwepo kwake duniani na kuliishi hilo kusudi. Unaweza kusikiliza podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms ikiwemo Anchor.fm yenyewe lakini pia kupia iTunes spotify googleplaystore breaker ITunes nakadhalika

    • 38 min
    KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA? EPISODE 02

    KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA? EPISODE 02

    Karibu tena usikilize episode 02 inayo sema KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? Tumezungumza na mshindi wetu wa episode ya kwanza PETER SAGATWA ama MC MASAI, Unaweza kusikiliza podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms kama Radio public, Breaker.audio, ITunes, spotify, googleplays na kadharika

    • 35 min
    KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?

    KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?

    Kumekua na dhana au mitazamo mbali mbali pindi tunapo ongelea juu ya ndoto (dream). Wengi tumekua hatuziishi ndoto zetu kiasi cha kupelekea ndoto nyingi kuto kua halisi, unaweza ukawa unakazi au umejiajiri na kitu flani lakini bado kuna kitu cha ndoto yako unatamani kukifanya ili utimize ndoto zako unatamani kuishi maisha ya ndoto zako sasa mbali na kazi unayo ifanya sasa KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? kitu cha ndoto zako ugumu wake uko wapi. kupitia the podcast ya Homefm RADIO online tumejaribu kuzungumzia mambo manne makuu yanayo changia kwa namna moja ama nyingine mimi au wewe kushindwa kuanza kufanya kile kitu tunacho kipenda. 1.UTHUBUTU 2.KULIZIKA 3.MAZINGIRA 4.KUTOKUA NA NDOTO HALISI

    • 31 min

Top Podcasts In Økonomi

Pengesnakk
Moderne Media
In Good Company with Nicolai Tangen
Norges Bank Investment Management
Dine Penger - Pengerådet
Dine Penger
Pengetabu
DNB
Framgångspodden
Acast
The Diary Of A CEO with Steven Bartlett
DOAC