![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
89 episodes
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
Amani Longishu Podcast Amani Longishu
-
- Økonomi
Je, umewahi kuhisi kama mitandao ya kijamii inapoteza muda wa biashara yako? Naam, turekebishe hilo! Ulimwengu wa uuzaji mtandaoni unabadilika kila wakati, kwa hivyo niruhusu niendelee kukufahamisha mabadiliko. haya na jinsi ya kukabiliana nayo
Show hii itakupa muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara, Subscribe usipitwe!
-
#89: Tumia Features Hizi INSTAGRAM Utapata Wateja Wengi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ -
#88: Jinsi Ya Kutambulisha Biashara Mtandaoni | Hatua 6 Muhimu Ili Kupata Wateja Wengi Zaidi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ -
#87: Aina 5 Ya BIDHAA ZA KUUZA MTANDAONI
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ -
#86: Hatua 4 Za KUANZA BIASHARA Mtandaoni Hadi Kupata Wateja Wengi
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ -
#85: Mambo 6 Yanayo KUNYIMA KUPATA WATEJA Wengi Mtandaoni
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/ -
#84: Mikakati 2 Ya KUNASA WATEJA Kila Siku Mtandaoni
Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽
https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/