Episode 2: Mimba za utotoni: Miiko ya kuongelea ngono na balehe na changamoto zake kijamii Jamii360 Podcast

    • Society & Culture

Episode hii ya pili inazungumzia Mimba za utotoni. Mimba za utotoni ni swala tata kwenye jamii nyingi. Hali ikoje nchini Tanzania na duniani kwa ujumla? Mimba za utotoni zina uhusiano gani na balehe? Nini ni visababishi vya mimba za utotoni katika zama hizi? je, tuendelee na miiko ya kutokuongelea ngono hata kwa nia ya kuwanusuru... Continue Reading →

Top Podcasts In Society & Culture

Dua Lipa: At Your Service
BBC Sounds
What We Said
Dear Media
Criminal
Vox Media Podcast Network
De Perstribune
NPO Radio 1 / Omroep MAX
Believe in Magic
BBC Sounds
The Daily Rally
Outside