2 episódios

Lengo la podcast hii ni kukusaidia wewe mjasiriamali wa mtandaoni, ambaye unahangaika kujenga biashara yako, kunasa wateja na kukuza chapa yako ( brand).

Nitakusaidia tips zitakazokusaidia kukuza biashara yako na kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.

Karibu ujifunze kila episode.

Ni mimi Mwenye kujali mafanikio yako,

Joshua Nghalo,

Mtaalamu wa biashara za mtandao. Network marketing business.

Joshua Nghalo Joshua Nghalo

    • Notícias

    Mbinu 7 za kumaliza changamoto yako Bila kutumia dawa Bali kutumia formula ya lishe na mazoezi

    Mbinu 7 za kumaliza changamoto yako Bila kutumia dawa Bali kutumia formula ya lishe na mazoezi

    Upungufu wa Nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi sana.

    Tafiti zinaonesha kuwa Kati ya wanaume 10 basi wanaume 7 wanasumbuliwa na upungufu wa nguvu za kiume.

    Kuna makosa mengi sana wanaume wanafanya pale wanapojigundua wana upungufu wa nguvu za kiume, wengi wanakimbilia kubugia Madawa pasipo Kujua chanzo cha tatizo.

    Pia ili kuwa vizuri kwenye tendo la ndoa ni lazima kuweza kujifunza namna ya kujenga mwenza wako kisaikolojia kabla na baada ya tendo la ndoa ili kuendelea kukumbuka kila wakati.

    Karibu Sana usikilize kila siries.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/joshuanghalo/message

    • 48 min
    Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako

    Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako

    Vipingamizi vya wateja ni moja ya hofu kubwa Sana miongoni mwa wauzaji wengi wa Bidhaaa au huduma. Katika mauzo uwezo wako wa kuvikabili vipingamizi vya wateja ndio utakao kufanya kuwa na mauzo mengi au kidogo kwasababu Huwezi kuvikwepa au kuviepuka vingi izi kwa 100% zaidi ya kuvipunguza tu. Vipingamizi ni sehemu ya mauzo njia pekee ya kuviepuka siyo kuvikimbia na kuviogopa Bali ni kujenga Urafiki navyo Kama Jinsi closers wanavofanya, moja ya kitu cha kujua pindi unapouza bidhaa/huduma yoyote ni kwamba wateja huganganya usiamini kila neno wanalokwambia na hufanya hivyo kutokana na hofu ya kufanya MAKOSA makubwa hofu kubwa zaidi kwa mteja ni kufanya MAKOSA ya kununua bidhaa/huduma na hofu kubwa zaidi kwa muuzaji ni ile ya kukataliwa (fear of rejection), ila sababu namba inayopelekea mteja kukupa kipingamizi ni IMANI aidha hajakuamini wewe, biaadha/huduma, kampuni yako au hajiamini yeye.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/joshuanghalo/message

    • 44 min

Top de podcasts em Notícias

Programa Cujo Nome Estamos Legalmente Impedidos de Dizer
SIC Notícias
O Princípio da Incerteza - Podcast
CNN Portugal
A Agenda de Ricardo Salgado
Pedro Coelho
Expresso da Manhã
Paulo Baldaia
Eixo do Mal
SIC Notícias
Irritações
SIC