CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO Deo Sukambi
-
- Arts
Sababu zinazochochea migongano katika mahusiano na kupelekea watu wengi kushindwa kufurahia maisha na wenzi wao
-
KWANINI WANAUME HUSAPOTI KIRAHISI WATU BAKI KULIKO WAKE ZAO
Je, kwanini huwa ni rahisi mume kusapoti mama yake, ndugu zake, rafiki zake, wafanyakazi wenzake, watoto wake? Jibu hili hapa
-
JE, WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE WALIOFANIKIWA?
Kwanini wanaume hawapendi wanawake wenye uwezo? Je, wapo kinyume na uwezo wao? Na kwanini wanaonekana kuwapenda zaidi wanawake duni? Majibu haya na unaweza kupata ufafanuzi zaidi katika kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME..piga namba/whatsap 0715104034 kupata nakala yako
-
CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO
Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambalo unaweza kufanya ni kujua nini hasa kinachochochea kwa kiwango kikubwa migogoro hii katika nyakati hizi kuliko wakati mwingine wowote..katika episode hii Deogratius ametoa dondoo chache muhimu ambazo zimekuwa chachu kwa migogoro mingi katika mahusiano. Kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME sasa kinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0715104034