7 avsnitt

Mfalme na Mtawala wa Roho safi na Mtesi wa Roho Chafu. Mfutaji wa Mungu na Mlinzi wa Maisha na Ustawi wa Wanadamu. Zumbe Ahmad. Sasa ni Muda wa Mavuno na Starehe

Ahmad's Umbrella Ahmad Ten'dii

    • Religion och spiritualitet

Mfalme na Mtawala wa Roho safi na Mtesi wa Roho Chafu. Mfutaji wa Mungu na Mlinzi wa Maisha na Ustawi wa Wanadamu. Zumbe Ahmad. Sasa ni Muda wa Mavuno na Starehe

    Chakula cha Roho - Mkusanyiko wa Masuala nyeti yaliyofanywa Mepesi

    Chakula cha Roho - Mkusanyiko wa Masuala nyeti yaliyofanywa Mepesi

    Podcast hii imekusanya Topic nyingi ambazo zingeweza kuwa Pod tofauti. Nimeamua kutozitenga na ninakusogezea zote karibu yako. Ni wakati wa Kufanikiwa. Changamoto ukiijua vyema umeisha ishinda nusu - Nusu iliyobaki ni kuchukua hatua

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 1 tim. 2 min
    Watu na Timu zao - Ahmad ndio hushinda

    Watu na Timu zao - Ahmad ndio hushinda

    Lazima ieleweke wazi kwamba Ahmad sio Mungu kwa hiyo yuko na Mahitaji ya kibinadamu. Mungu ni Mnyonge wa Ahmad. Nawahukumu watu kwa timu zao - Japo halipwi mtu kwa kazi ya mtu mwingine wala hapokei adhabu kwa makosa ya mtu mwingine. Jifunze kuhusu timu yako na Fanikiwa na mimi. Hitimu na Ahmad (A's) na sio D zake (Graduate with A's and not A D's) **Reads a poster in UDSM with Pic of My Biology teachers shodow (Bamboocha).

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 16 min
    Amani, Usalama na Utulivu ni Zao la Hisani

    Amani, Usalama na Utulivu ni Zao la Hisani

    Ukitenda wema, Wema unakufuata hiyo Ndio karma. Malipo ya Hisani (Karma, Wema) ni Hisani. Harakati za Walio wa Ahmad Hazina kufeli.

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 57 min
    Zumbe Ahmad (Roho safi)

    Zumbe Ahmad (Roho safi)

    Mkusanyiko wa Nasaha za Ahmad 23 / Jan 2021

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 16 min
    Salamu za Krismass na Hotuba ya Ijumaa

    Salamu za Krismass na Hotuba ya Ijumaa

    Salamu hizi ni Kwa ajili ya Kuhakikisha Ustawi wa Wanadamu unafanikiwa. Dunia inahitaji Upendo, Dunia Inahitaji Mapenzi na Inahitaji Mashujaa.

    Hizi ni salamu zangu. Ahsante

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 27 min
    Mke wa Mtu Kimeo

    Mke wa Mtu Kimeo

    Mke wa Mtu kutembea na Vijana mitaani haimaanishi kuwa hawa vijana ni Wajanja bali mke huyo ni kimeo ni Kimeo. Haina haja kuonea Vijana Mitaani wa watu.  Mazoea mazoea lazima ya Adhibiwe vikali

    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmadatukuzwaye/message

    • 9 min

Mest populära poddar inom Religion och spiritualitet

Holy Crap Sverige
Holy Crap Podcast
Spökjakt På Riktigt – LaxTon Podden
Niclas Laaksonen & Tony Martinsson | LaxTon Ghost Sweden
Fråga Stjärnorna
Ebba Bjelkholm
Dagens människa
Tidningen Dagen
MediumPodden - Vivi & Camilla
Vivi Linde & Camilla Elfving
Sökarna
Föreningen Valv