12 min

Michezo ya kusoma na kuandika Malezi na BRAC

    • Föräldraskap

Kipindi hiki kilirushwa TBC Taifa Jumatno 12.8.2020.

Sehemu ya kwanza inaongelea michezo ya kusoma na kuandika ambapo tutajifunzahadihi ya kuku na bata na shairi la sakamaide. Sehemu ya pili ya kipindi hiki inahusu aina ya pili ya malezi, yaani malezi ya mamlaka na demokrasia.

Vipindi hivi vinarushwa TBC Taifa kila jumatatu, Jumatano na Ijumaa, Usikose kufuatilia