29 min

Michezo ya mwili na kijamii Malezi na BRAC

    • Föräldraskap

Kipindi kilirushwa 10.8.2020.

Katika kipindi hiki tutajifunza michezo ya kimwili na kijamii. Ambapo tutaiangalia michezo ya simama kaa na kiokoe kikombe na sehemu ya pili tutaongelea aina ya kwanza ya malezi ambayo ni malezi ya kimabavu. 

Usikose kufatilia vipindi hivi kila siku ya Jumatatu, Jumatani na Ijumaa 9:30-10:00 Alasiri.