14 min

Mzozo wa Urusi na Ukraine; Mohamed Abdul-Rahman anachambua Hoja za Wahariri

    • Nyhetskommentarer

Je, unafahamu chimbuko la mgogoro kati ya Urusi na Ukraine, athari zake na unamaanisha nini kwa Afrika na dunia nzima? Mwanahabari/ Mhariri mstaafu na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Mohamed Abdul-Rahman anasimulia.