26 min

Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 7: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya magonjwa‪.‬ Naweza Show

    • Samhälle och kultur

Sehemu ya 7 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka kwa Tulia. Yeye ni binti aliyepitia maisha mengi magumu na machungu ndani ya jiji la dar es salaam, na tunajifunza umuhimu wa kuwapeleka watoto wetu katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tupoona dalili hatarishi kwao na tunashauriwa kutowapa dawa watoto wetu bila kuwapima na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.

Mest populära poddar inom Samhälle och kultur

P3 Dokumentär
Sveriges Radio
Mer än bara morsa!
Kenza & Ines
Sommar & Vinter i P1
Sveriges Radio
Måndagsvibe med Hanna och Lojsan
Podplay
Creepypodden i P3
Sveriges Radio
Fredagspodden
Perfect Day Media