4 episodes

We focus on people and stories that affect people's lives. We bring topics to light that often go under-reported, listening to all sides of the story and cover the uncovered.

Our Listeners and Viewers trust Giga Afrika to keep them informed, inspired, and entertained.

Giga Afrika Said Sindo

    • Society & Culture

We focus on people and stories that affect people's lives. We bring topics to light that often go under-reported, listening to all sides of the story and cover the uncovered.

Our Listeners and Viewers trust Giga Afrika to keep them informed, inspired, and entertained.

    MAKALA: RIPOTI YA UCHUNGUZI YA MAUAJI YA MTUHUMIWA KITUO CHA POLISI ILIVYOYEYUKA.

    MAKALA: RIPOTI YA UCHUNGUZI YA MAUAJI YA MTUHUMIWA KITUO CHA POLISI ILIVYOYEYUKA.

    Tangu mwaka 2015, mauaji na vifo vya wananchi vinavyotea katika vituo vya Polisi katika mkoa wa Geita vimeendela kuongezeka, vipo vinavyofanywa na watu
    wasiojulikana, na vingine vinafanywa na jeshi la Polisi.



    Serikali na vyombo vya dola vinadai hakuna askari aliyehusika na kama yupo ni katika kujihami na kulinda usalama wao na kituo.



    Storm fm, kupitia makala ya tafakari pevu imekuwa ikifuatilia kifo cha Enos Misalaba (34) Mkazi wa kata ya mganza wilayani chato mkoani Geita, mtuhumiwa aliyefariki mikononi mwa polisi.



    Wananchi wenye hasira walichoma kituo cha polisi mganza, wilaya ya chato mkoani geita wakipinga uonevu unaofanywa na askari polisi wa kituo hicho, kufuatia kumkamata mtuhumiwa na kumpiga, kitendo kinachodaiwa kusababisha kifo chake.



    Jumla ya timu 4 za uchunguzi ziliundwa, mbili za IGP zikiongozwa na DCI makao makuu, moja ya jopo la madaktari kwaajili ya kufanya (PM), na moja ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.



    Lakini miezi 10 tangu kuundwa kwa kamati hizo hakuna ripoti hata moja iliyowekwa wazi, hivyo, mkala hii inajibu maswali matatu makuu…askari hawa ni akina nani? …kwanini wanapiga au kuua watuhumiwa vituo vya polisi na kwanini ripoti za uchunguzi haziwekwi wazi au kupelekwa kwa waathirika?




    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message

    • 17 min
    Nishati Jadidifu

    Nishati Jadidifu

    Kadri matumizi ya vyanzo vya nishati visizo rafiki kwa mazingira yanavyongezeka, ndivyo uharibifu wa mazingira na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi zinavyozidi kupasua vichwa vya watawala duniani.

    Sehemu pekee ya kukimbilia ni kuchagiza matumizi ya nishati jadidifu ambazo ni rafiki kwa mazingira huku wabunifu wa majiko wakisema ubunifu wao umekuwa na tija na fursa kibiashara licha ya gharama kubwa ya kuendesha biashara hiyo.




    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message

    • 3 min
    MAKALA: Wanafunzi wanaovuka Maji ili kuitafuta Elimu

    MAKALA: Wanafunzi wanaovuka Maji ili kuitafuta Elimu

    Ni Makala inayaomulika maisha ya kila siku ya wanafunzi 23 wanaovuka maji kila siku kuisaka elimu kutoka kisiwa cha Lulegea Mkoani Geita. Kutokana na kukosekana kwa shule katika kisiwa hicho hulazimika kuvuka maji kwa kutumia mtumbwi kwenda katika kisiwa cha butwa ili kupata elimu hali iliyopelekea watatu kati yao kupoteza maisha wakati wakirudi kutoka shule kutokana na hali ya ziwa kubadilika.

    //

    It is an Article that highlights the daily lives of 23 students who cross the water every day in search of education from Lulegea Island in Geita Region. Due to the lack of schools on the island they are forced to cross the water using a canoe to Butwa Island to get an education which has resulted in three of them losing their lives on their way back from school due to changing lake conditions.


    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message

    • 14 min
    Rastafari na mtindo wa Maisha

    Rastafari na mtindo wa Maisha

    Namna ambavyo jamii imekuwa ikiwachukulia watu wa Rastafari na Imani yao kutokana na wao kuhusishwa katika uvutaji Bangi na matendo mengine yasiyo ya kiungwana.


    ---

    Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/giga-afrika/message

    • 9 min

Top Podcasts In Society & Culture

No Stupid Questions
Freakonomics Radio + Stitcher
唐陽雞酒屋
唐綺陽
Freakonomics Radio
Freakonomics Radio + Stitcher
What Now? with Trevor Noah
Spotify Studios
搞钱女孩|女性成长访谈播客
搞钱女孩创始人小辉
Modern Love
The New York Times