7 episodios

Kuna hofu za aina nyingi lakin mimi nimejikita kuzungumzia namna ya kushinda hofu ya kifo

Jinsi ya kushinda Hofu Angel Chaki

    • Educación

Kuna hofu za aina nyingi lakin mimi nimejikita kuzungumzia namna ya kushinda hofu ya kifo

    When that last moment approaches Goodbye becomes the saddest word

    When that last moment approaches Goodbye becomes the saddest word

    But hs to be said anyway. How to say it makes it painful but after saying it u get relief and peace. My own goodbye to you guys

    • 14 min
    Maisha ya chuo

    Maisha ya chuo

    Siku hizi kumaliza shule ya sekondari ni jambo zuri lakin kumaliza chuo kikuu imekua changamoto. Kuna vilio na sauti za vijana wa kike na wa kiume wanaopitia changamoto na wanahitaji msaada.

    • 15 min
    Kwa iman tunashinda ya dunia hata mauti inashindwa pia

    Kwa iman tunashinda ya dunia hata mauti inashindwa pia

    Mimi ndimi njia ya uzima wa milele, aniaminie mimi hata akifa ataishi. Mahali nilipo ndipo nayeye atakapokuwepo

    • 35 min
    Ishinde Hofu

    Ishinde Hofu

    Kifo ni jambo lisilozoeleka kwa mtu yeyote, Lakini pamoja na hayo lipo tumaini la uzima tena, kwa wale waliomwamini Bwana Yesu Kristo. Na ndio maana mtume Petro aliwatia moyo waaminio wote wa wakati ule, akiwaambia wasistaajabie sana, msiba huo utakapowapata kwa ghafla kama jaribu la moto, kinyume chake wafurahie kwasababu lipo tumaini tena la uzima siku ile ya ufufuo..Kwasababu watafufuliwa tena, na kuwaona wapendwa wao. Je tunawezaje kuishinda hofu ya kifo?? Ungana nami

    • 14 min
    Jinsi ya Kuikabili Hofu

    Jinsi ya Kuikabili Hofu

    Hofu kama nilibokwisha kuwaeleza hapo awali zipo za aina nyingi. Lakin mimi nitazungumzia zaidi jinsi ya kuikabili hofu ya mauti au kifo kwa wale wanaopitia magonjwa au kuugua na wamakata tamaa na kupoteza matumaini

    • 8 min
    Hofu ni adui mbaya sana na anatufanya mara nyingi kushindwa kufika mahali fulani

    Hofu ni adui mbaya sana na anatufanya mara nyingi kushindwa kufika mahali fulani

    Hofu zipo za aina nyingi. Lakin mimi nitazungumzia zaidi kuhusu hofu ya kifo na namna ya kuishinda hofu hiyo

    • 1m

Top podcasts en Educación

Seminario Fenix
alvarezhd86
Aprende Más Inglés
Daniel Welsch
A TODO SI
Stephanie Rodríguez
Coffee Break French
Coffee Break Languages
French Blabla
Speak Like a native
The Jordan B. Peterson Podcast
Dr. Jordan B. Peterson