7 episodes

YATOKAYO MADHABAHUNI
Hiki ni kipindi kwa ajili yako kujifunza neno la Mungu, kama lilivyo bila kugoshiwa. Karibu tujifunze. Asante.WORD ALIVE CENTRE-Kibaha, Coast Region.

Yatokayo Madhabauni Elibariki Mchau

    • Religion & Spirituality

YATOKAYO MADHABAHUNI
Hiki ni kipindi kwa ajili yako kujifunza neno la Mungu, kama lilivyo bila kugoshiwa. Karibu tujifunze. Asante.WORD ALIVE CENTRE-Kibaha, Coast Region.

    DHAMBI AU KUTENDA DHAMBI

    DHAMBI AU KUTENDA DHAMBI

    Dhambi au kutenda dhambi kunamfanya mtendaji kutengwa na Mungu si kwa sababu Mungu ana mchukia Mtu huyo bali dhambi ndio humtenga Mtu huyo na Mungu. Matokeo ya dhambi ni kuwa humfanya mtendaji kila wakati kujutia dhambi zake na kutaka kuacha kutenda dhambi, ila wengi hawajui watafanyaje ili kutoka katika dhambi. Wengi hutafuta namna yakutoka lakini hawajui kwamba ipo njia sahihi ya kutoka kwenye dhambi, kuwa huru na kurejesha uhusiano na Mungu. Kwenye podcast hii ukisikiliza kwa makini utaipata njia ya kutoka katika dhambi. karibu uijue njia. Ni mimi Mtumishi wako Elibariki Solomon kutoka WORD ALIVE CENTRE, Kibaha. 0747556105

    • 40 min
    Mkristo baada ya kuamini na nafasi yake

    Mkristo baada ya kuamini na nafasi yake

    Mkristo baada ya kuamini na nafasi yake: Mkristo ni mtu kama walivyo watu wengine ila tu yeye huishi maisha ya kumwamini na kumtegemea Mungu kwa maisha yake yote akiwa hapa duniani, itamwia vigumu kuishi maisha hayo iwapo hajui nafasi yake kama mwamini ni ipi na mipaka ya imani yake ni ipi. Hivyo basi katika somo hili tunaonyeaha mikapa na jinsi ya kuweza kumwamini na kumtegemea Mungu, fuatana nami katika somo hili ili uweze jifunza pamoja nasi. kwa maswali na ushauri piga 0747556105 au sms . Ni mimi Mtumishi wako Elibariki Solomon

    • 50 min
    Heri aliyesamehewa dhambi

    Heri aliyesamehewa dhambi

    Wakristo wengi waliosamehewa dhambi wameshindwa kufaidi haki waliohesabiwa kwa sababu ya kufuata mafundisho potofu kutoka kwa watumishi ambao siyo wakweli bali waongo wanaopindisha neno la Mungu kwa manufaa yao. Wamepelekea kuwa na Wakristo ambao kimsingi sio wa Kristo maana wamegeuka badala ya Kumwamini Yesu, sasa wana waandamia wao watumishi wa uongo na kuishia kuwa vitega uchumi vyao wao binafsi mwisho wataishia jehanamu ya moto wao na wateja wao. Hivyo somo hili litawasaidia waweze kutoka katika mtego huo wa ibilisi. Kwa ushauri piga 0747556105. Elibariki Solomon

    • 39 min
    Tusifuatishe namna ya dunia

    Tusifuatishe namna ya dunia

    My podcasts are about the gospel of Jesus Christ and teaching the word of God, all people are welcome to listen and learn

    • 31 min
    IMEKWISHA 2

    IMEKWISHA 2

    Katika somo hili tunasisitiza kwa mwamini kujifunza na kuijua kweli kwanini ni muhimu kuijua kweli. Maana IMEKWISHA

    • 20 min
    IMEKWISHA 1

    IMEKWISHA 1

    Somo hili linakujia kwa ajili ya kukupa tafsiri sahihi ya kile ambacho Yesu alikifanya kwa kufa na kufufuka. Hivyo fuatana nami katika somo hili na mengine yatakayokujia. Asante ni mimi mtumishi wako Elibariki Solomon-Word Alive Centre,Kibaha

    • 28 min

Top Podcasts In Religion & Spirituality

Our Daily Bread Podcast | Our Daily Bread
Our Daily Bread Ministries
Power For Living with Bishop Dale C. Bronner
Bishop Dale C. Bronner
Bold Steps with Dr. Mark Jobe
Moody Radio
Transformation Church
Transformation Church
Attached: Living With The Times
Attached
Jimmy Swaggart Podcast
Unknown